Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi CUF, Prof.Ibrahim Lipumba akiwasili kwenye Mkutano wa Chama hicho uliofanyika Jangwani jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wananchi na wanachama wa chama hicho waliojitokeza kwenye mkutano huo.
Wafuasi wa Chama hicho wakifurahia jambo.
Kikundi cha Mchiriku nacho hakikua mbali kutumbuiza.
Kadi za vyama mbalimbali zilirejeshwa na kukabidhiwa kadi mpya.
Afande Sele nae alitumbuiza kwenye mkutano huo.
Msanii Kala Pina,
akitoa burudani kwa wanachama wenzake wa chama hicho, kwenye uchaguzi wa 2010,
Kalapina aligombea udiwani kupitia chama hicho kwenye kata ya
Kinondoni.
No comments:
Post a Comment